Wananchi Byeju watakiwa kulinda vyanzo vya maji
KAGERA: Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2026 zimewataka wananchi wa Byeju, Kata ya Mtukula, Wilaya ya Missenyi mkoani Kagera, kuepuka shughuli za kibinadamu ikiwemo kilimo, kufyeka misitu na ujenzi karibu na vyanzo vya maji kutokana na madhara yanayoweza kujitokeza. Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2026, Wazo Michael Mwang’onda, ametoa …
Tazama zote — habarileo.co.tz →Zimekusanywa kutoka vyumba vikuu vya habari nchini. Kila habari inaunganishwa na chanzo chake asili.







