Afrika ‘yaamshwa’ utoshelevu rasilimali za nishati
ACCRA, GHANA: Mkuu wa Shughuli za Serikali nchini Ghana Dk Julius Debras ametoa wito kwa nchi za Afrika kuangalia kwa namna gani rasilimali zilizopo zinaweza kujitosheleza kama bara hususani katika sekta ya nishati. Dkt Debras ametoa wito huo katika maadhimisho ya wiki ya mafuta Afrika yanayoendelea jijini Accra, Ghana wakati akitoa hotuba yake kwa niaba …
Tazama zote — habarileo.co.tz →Zimekusanywa kutoka vyumba vikuu vya habari nchini. Kila habari inaunganishwa na chanzo chake asili.







