Friday, 04 September 2026
USD/TZS 2643EUR/TZS 3071
Tanzania Habari za Tanzania · WORLD EUROS
Nº 55 Friday, 04 September 2026
Habari kuu

Bandari Dar yahudumia tani milioni 33.7 za mizigo

Bandari Dar yahudumia tani milioni 33.7 za mizigo
Vyanzo: habarileo.co.tz

DAR ES SALAAM: Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesema Bandari ya Dar es Salaam imeendelea kuongeza uwezo wa kupokea na kuhudumia mizigo kutokana na maboresho ya miundombinu na uwekezaji unaolenga kuongeza ufanisi wa shughuli za bandari. Akizungumza wakati wa ziara ya viongozi wa wanafunzi wa vyuo vikuu katika miradi mbalimbali ya TPA, Mkurugenzi …

Tazama zote — habarileo.co.tz →

Zimekusanywa kutoka vyumba vikuu vya habari nchini. Kila habari inaunganishwa na chanzo chake asili.