Friday, 04 September 2026
USD/TZS 2643EUR/TZS 3071
Tanzania Habari za Tanzania · WORLD EUROS
Nº 55 Friday, 04 September 2026
Habari kuu

Sh milioni 769.5 zatumika mradi wa maji Mabira

Sh milioni 769.5 zatumika mradi wa maji Mabira
Vyanzo: habarileo.co.tz

KYERWA: Wananchi wa vijiji vya Mabira, Omukigando na Nyakatete, Kata ya Mabira wilayani Kyerwa, mkoani Kagera, wameondokana na adha ya kufuata maji umbali mrefu baada ya kukamilika kwa Mradi wa Maji Mabira. Mradi huo umezinduliwa kupitia Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2026, hatua inayotarajiwa kumaliza changamoto ya muda mrefu ya upatikanaji wa maji …

Tazama zote — habarileo.co.tz →

Zimekusanywa kutoka vyumba vikuu vya habari nchini. Kila habari inaunganishwa na chanzo chake asili.