Friday, 04 September 2026
USD/TZS 2643EUR/TZS 3071
Tanzania Habari za Tanzania · WORLD EUROS
Nº 55 Friday, 04 September 2026
Habari kuu

Kyerwa yakamilisha jengo la mama na mtoto Rukuraijo

Kyerwa yakamilisha jengo la mama na mtoto Rukuraijo
Vyanzo: habarileo.co.tz

KYERWA: Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera imekamilisha ujenzi wa jengo la Mama na Mtoto katika Zahanati ya Rukuraijo kwa gharama ya Sh milioni 300, fedha zilizotokana na mapato ya ndani ya Halmashauri. Jengo hilo linatarajiwa kutoa huduma kwa wakazi wa Kata ya Rukuraijo ambao ni zaidi ya 9,000, huku likilenga kupunguza changamoto ya …

Tazama zote — habarileo.co.tz →

Zimekusanywa kutoka vyumba vikuu vya habari nchini. Kila habari inaunganishwa na chanzo chake asili.