Friday, 04 September 2026
USD/TZS 2643EUR/TZS 3071
Tanzania Habari za Tanzania · WORLD EUROS
Nº 55 Friday, 04 September 2026
Habari kuu

Mwenge wafungua fursa za vijana Kyerwa

Mwenge wafungua fursa za vijana Kyerwa
Vyanzo: habarileo.co.tz

KYERWA: Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2026, Wazo Michael Mwango’nda, ameiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa kuhakikisha majukwaa ya vijana yanashushwa kutoka ngazi ya wilaya hadi kata, vijiji na mitaa, ili vijana wengi zaidi waweze kupata elimu na taarifa kuhusu fursa mbalimbali zinazotolewa na Serikali. Mwango’nda alitoa agizo hilo wakati akizindua …

Tazama zote — habarileo.co.tz →

Zimekusanywa kutoka vyumba vikuu vya habari nchini. Kila habari inaunganishwa na chanzo chake asili.