Bil 63/- kupeleka umeme GGM Geita
DODOMA: Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba, ameshuhudia utiaji saini wa mkataba wenye thamani ya Sh bilioni 63 kati ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na mkandarasi kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa kusafirisha umeme wa msongo wa kilovoti 220 (kV) kutoka Mpomvu hadi Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM). Mradi huo pia unahusisha …
Tazama zote — habarileo.co.tz →Zimekusanywa kutoka vyumba vikuu vya habari nchini. Kila habari inaunganishwa na chanzo chake asili.







