Wakulima wa mahindi walenga magunia 20 kwa ekari
IRINGA: WAKULIMA wa kata ya Magulilwa wilayani Iringa wanatarajia kuongeza uzalishaji wa mahindi kutoka wastani wa gunia tano hadi zaidi ya 20 kwa ekari, baada ya kuanza kupata mbegu bora kwa bei ya ruzuku, hatua wanayoamini itabadilisha uzalishaji na kuongeza kipato cha kaya. Kwa miaka kadhaa, wakulima katika eneo hilo wamekuwa wakikabiliwa na changamoto ya …
Tazama zote — habarileo.co.tz →Zimekusanywa kutoka vyumba vikuu vya habari nchini. Kila habari inaunganishwa na chanzo chake asili.







