Sunday, 06 September 2026
USD/TZS 2639EUR/TZS 3065
Tanzania Habari za Tanzania · WORLD EUROS
Nº 57 Sunday, 06 September 2026
Habari kuu

Muleba: Familia mbili zapata mil 4/- za matibabu

Muleba: Familia mbili zapata mil 4/- za matibabu
Vyanzo: habarileo.co.tz

KAGERA: Familia mbili wilayani Muleba, mkoani Kagera, ambazo zilikuwa zikikabiliwa na changamoto za matibabu na hali ngumu ya maisha, zimepata msaada wa jumla ya shilingi milioni nne kutoka Taasisi ya Wenfurebe Foundation kupitia Mkurugenzi wake, Simon Patrick Wenfurebe. Msaada huo umetolewa kwa ajili ya kugharamia matibabu ya wagonjwa katika familia hizo, ambao walikuwa wakishindwa kumudu …

Tazama zote — habarileo.co.tz →

Zimekusanywa kutoka vyumba vikuu vya habari nchini. Kila habari inaunganishwa na chanzo chake asili.