Monday, 07 September 2026
USD/TZS 2643EUR/TZS 3069
Tanzania Habari za Tanzania · WORLD EUROS
Nº 58 Monday, 07 September 2026
Habari kuu

Mabonanza ya watumishi yasifiwa kujenga afya

Mabonanza ya watumishi yasifiwa kujenga afya
Vyanzo: habarileo.co.tz

IRINGA: MABONANZA ya michezo kwa watumishi wa taasisi mbalimbali yameelezwa kuwa na nafasi muhimu katika kuimarisha afya ya mwili na akili, kupunguza msongo wa mawazo na kujenga mahusiano mazuri kazini. Akizungumza baada ya kuhitimishwa kwa bonanza lililofanyika Septemba 5, 2026 katika viwanja vya Chuo Kikuu Mkwawa (MUCE), Iringa, Mhandisi wa Bodi ya Maji Bonde la …

Tazama zote — habarileo.co.tz →

Zimekusanywa kutoka vyumba vikuu vya habari nchini. Kila habari inaunganishwa na chanzo chake asili.