Mtatifikolo atoa mil 1/- kwa kikundi cha wanawake Isimani
IRINGA: MBUNGE wa Jimbo la Isimani, Emmanuela Mtatifikolo, ametoa Sh milioni moja kwa kikundi cha wanawake cha Mwangaza Food Point katika Kijiji cha Mboliboli, Tarafa ya Pawaga, jimboni kwake Isimani, ikiwa ni sehemu ya kuwaunga mkono kuongeza mtaji na kukuza shughuli zao za kiuchumi. Pamoja na mchango huo, Mtatifikolo aliahidi katika kijiji cha Mbugani kusaidia …
Tazama zote — habarileo.co.tz →Zimekusanywa kutoka vyumba vikuu vya habari nchini. Kila habari inaunganishwa na chanzo chake asili.







