Monday, 07 September 2026
USD/TZS 2643EUR/TZS 3069
Tanzania Habari za Tanzania · WORLD EUROS
Nº 58 Monday, 07 September 2026
Habari kuu

Utalii wa maombi waibua fursa kiuchumi

Utalii wa maombi waibua fursa kiuchumi
Vyanzo: habarileo.co.tz

ARUSHA: UTALII wa maombi umeendelea kuibua fursa mpya za kiuchumi na kuvutia wageni katika Ziwa Duluti, wilayani Arumeru, huku serikali ikiwataka wawekezaji kuongeza huduma na miundombinu ili kutumia kikamilifu uwezo wa eneo hilo katika kukuza utalii. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamad Hassan Chande, wakati wa ziara ya wajumbe wa kamati …

Tazama zote — habarileo.co.tz →

Zimekusanywa kutoka vyumba vikuu vya habari nchini. Kila habari inaunganishwa na chanzo chake asili.