Wakulima Babati wanufaika programu ya AFDP
MANYARA: Wakulima wa vijiji vya Endasiko na Orng’adida, vilivyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Babati, mkoani Manyara, wameeleza kunufaika na Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP), inayofadhiliwa na Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Kilimo (IFAD) kwa kushirikiana na Serikali na kuratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu – Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu. …
Tazama zote — habarileo.co.tz →Zimekusanywa kutoka vyumba vikuu vya habari nchini. Kila habari inaunganishwa na chanzo chake asili.







