Barabara ya Magereza – Kabalenzi kufungua fursa biashara
KAGERA: Wakazi wa Kata ya Ngara Mjini, Wilaya ya Ngara mkoani Kagera, wameeleza matumaini makubwa kuwa barabara ya Magereza–Kabalenzi iliyojengwa kwa kiwango cha lami itafungua fursa mpya za biashara, kurahisisha usafirishaji wa mazao na kuongeza kipato cha wananchi. Barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 0.55 imejengwa na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), …
Tazama zote — habarileo.co.tz →Zimekusanywa kutoka vyumba vikuu vya habari nchini. Kila habari inaunganishwa na chanzo chake asili.







