Tuesday, 08 September 2026
USD/TZS 2644EUR/TZS 3073
Tanzania Habari za Tanzania · WORLD EUROS
Nº 59 Tuesday, 08 September 2026
Habari kuu

Chikota azungumzia faida kongani ya viwanda Maranje

Chikota azungumzia faida kongani ya viwanda Maranje
Vyanzo: habarileo.co.tz

MTWARA: MBUNGE wa Jimbo la Nanyamba Mkoani Mtwara Abdallah Chikota amesema uwepo wa ujenzi wa kongani ya viwanda ya korosho iliyopo kijiji cha Maranje Halmashauri ya Mji Nanyamba mkoani Mtwara ni faida kubwa kwa wananchi wa maeneo hayo hasa suala la ajira kwa vijana. Hayo yamejiri leo Septemba 7,2026 wakati mbunge wa jimbo hilo alipotembelea …

Tazama zote — habarileo.co.tz →

Zimekusanywa kutoka vyumba vikuu vya habari nchini. Kila habari inaunganishwa na chanzo chake asili.