Tanzania , Malawi kujizatiti uwekezaji
DAR ES SALAAM: Tanzania na Malawi zimekubaliana kuongeza biashara na uwekezaji kati ya nchi hizo mbili kwa kuimarisha ushirikiano wa sekta binafsi, kuongeza thamani ya malighafi na kutumia fursa za masoko ya kikanda, huku Malawi ikiendelea kuitumia Tanzania kama lango muhimu la biashara kupitia Bandari ya Dar es Salaam. Makubaliano hayo yamejadiliwa katika mkutano wa …
Tazama zote — habarileo.co.tz →Zimekusanywa kutoka vyumba vikuu vya habari nchini. Kila habari inaunganishwa na chanzo chake asili.







