Tanzania yatumia teknolojia kukuza uchumi wa buluu
DAR ES SALAAM: SERIKALI imeendelea kuimarisha matumizi ya teknolojia za kidijitali, mifumo ya kisasa ya usimamizi wa bandari na biashara, pamoja na matumizi ya taarifa za kisayansi katika kufanya maamuzi kwa lengo la kuimarisha maendeleo ya uchumi wa buluu nchini. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Hamadi Masauni, amesema hayo …
Tazama zote — habarileo.co.tz →Zimekusanywa kutoka vyumba vikuu vya habari nchini. Kila habari inaunganishwa na chanzo chake asili.







