Wizara ya Katiba na Sheria yapitia sheria kulinda uwekezaji
DAR ES SALAAM: WIZARA ya Katiba na Sheria imeanza kupitia sheria mbalimbali za kisekta nchini ili kuhakikisha zinaendana na mahitaji ya sasa pamoja na malengo yaliyowekwa katika Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, ili kuweka mfumo imara wa kisheria utakaowezesha utekelezaji wa shughuli za kiuchumi, ikiwemo uwekezaji katika sekta ya Uchumi wa Buluu, huku ukilinda …
Tazama zote — habarileo.co.tz →Zimekusanywa kutoka vyumba vikuu vya habari nchini. Kila habari inaunganishwa na chanzo chake asili.







