Programu ya AFDP yawafikia wakulima Tanga
TANGA: UJUMBE kutoka Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) pamoja na wataalamu kutoka sekta mbalimbali zinazotekeleza Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP) wamewasili Mkoani Tanga kwa ajili ya kufanya mapitio ya utekelezaji wa programu hiyo. Timu hiyo ilifanya ziara hiyo Septemba 7, 2026 kwa lengo la kutathmini maendeleo ya utekelezaji wa miradi …
Tazama zote — habarileo.co.tz →Zimekusanywa kutoka vyumba vikuu vya habari nchini. Kila habari inaunganishwa na chanzo chake asili.







