Polisi Arusha wapanda miti Shule ya Msingi Arusha
ARUSHA: Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limewakumbuka viongozi wakuu wa serikali pamoja na watu maarufu nchini waliosoma katika Shule ya Msingi Arusha, maarufu kama Arusha School, kwa kupanda miti ya matunda na kivuli katika eneo la shule hiyo. Hatua hiyo imeelezwa kuwa ni sehemu ya kuwaenzi viongozi na watu mbalimbali waliopata elimu katika shule …
Tazama zote — habarileo.co.tz →Zimekusanywa kutoka vyumba vikuu vya habari nchini. Kila habari inaunganishwa na chanzo chake asili.







