Thursday, 03 September 2026
USD/TZS 2644EUR/TZS 3063
Tanzania Habari za Tanzania · WORLD EUROS
Nº 54 Thursday, 03 September 2026
Habari kuu

Mama lishe Kurasini wapatiwa elimu nishati safi

Mama lishe Kurasini wapatiwa elimu nishati safi
Vyanzo: habarileo.co.tz

DAR ES SALAAM: MAMA na Baba lishe wa eneo la Kurasini lililopo Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam wamepatiwa elimu kuhusu matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa kutumia mkaa mbadala, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuhamasisha matumizi ya nishati salama. Katika elimu hiyo, washiriki wameelekezwa namna ya kutumia mkaa mbadala ambao unauwezo wa …

Tazama zote — habarileo.co.tz →

Zimekusanywa kutoka vyumba vikuu vya habari nchini. Kila habari inaunganishwa na chanzo chake asili.