Wakulima waliokata tamaa Wasa wapewa elimu ya mbegu bora
IRINGA: KILIO cha muda mrefu cha wakulima wa kata ya Wasa wilayani Iringa, kuhusu kuuziwa mbegu feki na watu wasio waaminifu kimepata suluhu kufuatia elimu juu ya matumizi ya mbegu bora na njia za kuzipata. Elimu hiyo imefika vijijini siku chache baada ya wananchi wa kata hiyo kumweleza Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Benjamini Sitta, …
Tazama zote — habarileo.co.tz →Zimekusanywa kutoka vyumba vikuu vya habari nchini. Kila habari inaunganishwa na chanzo chake asili.







