Saturday, 05 September 2026
USD/TZS 2642EUR/TZS 3068
Tanzania Habari za Tanzania · WORLD EUROS
Nº 56 Saturday, 05 September 2026
Habari kuu

Polisi wanawake Arusha wakumbushwa uadilifu

Polisi wanawake Arusha wakumbushwa uadilifu
Vyanzo: habarileo.co.tz

ARUSHA: KAMANDA wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Arusha, Zawadi Ngailo, amewataka askari wa kike wa Jeshi la Polisi mkoani humo kuwa waadilifu katika utumishi wa umma na kuwa mstari wa mbele katika kutekeleza sheria na kulinda raia pamoja na mali zao, kwa lengo la kujenga imani ya wananchi kwa …

Tazama zote — habarileo.co.tz →

Zimekusanywa kutoka vyumba vikuu vya habari nchini. Kila habari inaunganishwa na chanzo chake asili.